Friday 28 April 2017

TzTown Tv: MISITU YA ASILI ITUNZWE INAWEA KUONGEZA KIPATO

KIONGOZI wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa Amour Hamad Amour amewataka watanzania kulinda misitu ya asili na kuitumia kupata uchumi wao kwa kutundika Mizinga ya nyuki katika misitu.
Kauli hiyo inatolewa baada ya kutundikwa kwa mizinga 50 ya nyuki katika msititu wa kijiji cha Ugute kata ya Isalavanu halmashauri ya Miji Mafinga ambako mwenye wa uhuru umezindua Ufugaji wa Nyuke kwenye msitu huo.
Amour anasema kuwa misitu na binadamu ni vitu vinavyo tegemeana na jamii inaweza kupata fedha pasipo kuharibu misitu.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Ugute akitoa taarifa ya utunzaji wa msitu huo alisea kuwa utunzaji huo unafanywa na kijiji kizima.
Mwnye wa Uhuru ukiwa katika halmashauri ya Mji wa mafika halmashauri ya Mwisho Kuangaziwa na Mwenge huo kwa Mkoa wa Iringa unaangazia katika miradi zaidi ya 10 ya afya, uchumi na maendeleo, huduma ya maji inafunguliwa taarifa ya mradi huo inasomwa na huku jamii ikikili kuwa awali kulikuwa na kelo kubwa.
Mwenge pia unafungua kituo cha afya amchi kinahudukia jamii kubwa huku vyandarua pia vikikabidhiwa ili kuikinga jamii na Mararia.
Kuelekea serikali ya Viwanda mwenge pia unaangaza katika kiwanda cha kuchakata mazao ya misitu na utengenezaji thamani kinacho milikiwa na watanzania ambapo ili kulisha kiwanda hicho kunahitaji miti ya kutosha.

from Blogger http://ift.tt/2qlsKVA
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2oODsCS

No comments:

Post a Comment