Tuesday 21 March 2017

Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo yake ya 11 katika kipindi cha 2016/2017

Staa wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ureno akiwashinda Pepe huku Renato Sanchez akishinda tuzo ya mchezaji bora mwenye umri chini ya miaka 21.
Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo hiyo huku kocha wao wa timu ya taifa ya Ureno aliyowaongoza kushinda michuano ya Euro 2016 Fernando Santos kushinda tuzo ya kocha bora wa mwaka. Hii ni tuzo ya 11 ya Ronaldo toka 2016/2017 baada ya tuzo ya mchezaji bora wa Dunia wa FIFA aliyoichukua January 9 2017.
Tuzo ya mwanasoka bora wa dunia wa Globe Soccer Award kwa mwaka 2016 inakuwa ni tuzo ya 9 kwa Ronaldo kwa mwaka 2016, baada ya kushinda tuzo za mchezaji bora wa Ulaya, The World Soccer, Four Four Two, Espy, Di Stéfano Award, Goal.com award, FIFA Club Golden Ball na Ballon d’Or.
Fernando Santos
Renato Sanchez
KAMA ULIMIS VIDEO YA MCHEZAJI WA Ghana  ALIE JIKANYAGA KWA KUWASHUKURU MKE NA MCHEPUKO WAKE TAZAMA HAPA

from Blogger http://ift.tt/2niRGPa
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2mpiyhf
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nOP1uf
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2o1pA88
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2n4YQod
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2naSmG1

No comments:

Post a Comment