Tuesday 21 March 2017

Tz Town Tv: Zahanati kuchangiwa asilimia 10 na wananchi zinazobaki kuchangiwa na Tasaf

MFUKO wa maendeleo ya jamii Tasaf awamu ya tatu sasa kuanza kutoa ajira kwa wanufaika wa mradi wa kunusuru kaya maskini ambapo miradi ambayo inaiburiw ana wananchi kuzana kujengwa hivikaribuni ambapo kwa baadhi ya miradi wakazi wenye mradi kuchangia asilimia kumi ya mradi huo.
Wakazi wa mtaa wa Ramadhani wanasema kuwa wapo tayari kuchangia asilimia kumi kwaajili ya kuanza ujenzi wa Zahanani ambayo kwa asilimia 90 zitachangiwa na Tasaf ambapo inaeleza kuwa watakao shiriki katika mradi huo kama nguvu kazi watakuwa ni wanufaika wa mradi wa kunusuru kaya masikini.
Wananchi wanapewa taarifa za ujio wa mradi huo katika mtaa wao ambapo wanasema kuwa ujenzi utakuwa mkomozi kwao na kwa asilimia kumi wapo tayari kwa kuchangia.
Mwenyekiti wa mtaa huo anasema kuwa vitu ambavyo serikali ya mtaa inatakiwa kuchangia ni pamoja na kiwanja, Mchanga, na Mawe kwaajili ya msingi vitu ambavyo ni muhimu kutafutwa.
Aidha akizungumzia kuwapo kwa miradi hiyo ya Tasaf ambayo inatekelezwa Mratibu wa tasafu anasema kuwa miradi hiyo inaibuliw ana wananchi na itanza kutekelezwa mapema mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya halmashauri ya mji wa Njombe.

TAZAMA WANANSHI WAKIELEZEA FURAHA YAO KUPATA NAFASI YA KUCHANGIA KIDOGO……………………………… 

from Blogger http://ift.tt/2mRjSWu
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2nanTI6

No comments:

Post a Comment