Sunday, 6 September 2015

CHADEMA Jimbo la Moshi Mjini Yatangaza Wagombea.Wake.

Mkutano wa Hadhara wa Kampeni wa Utamburisho wa wagombea wa Udiwani katika jimbo la Moshi mjini.

Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya
Korongoni ,manispaa ya Moshi,Ally Mwamba akiomba kura mbele ya wakazi wa
mji wa Moshi wanaoishi Korongoni (hawapo pichani).

Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya Rau
,manispaa ya Moshi,Peter Kimaro akiomba kura mbele ya wakazi wa mji wa
Moshi wanaoishi Rau (hawapo pichani)

Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya
Ng’ambo ,manispaa ya Moshi,Genesis Kiwelu akiomba kura mbele ya wakazi
wa mji wa Moshi wanaoishi Ng’ambo (hawapo pichani)

Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya
Miembeni,manispaa ya Moshi,Mbonea Mshana akiomba kura mbele ya wakazi wa
mji wa Moshi wanaoishi Miembeni (hawapo pichani)

Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya
Msaranga ,manispaa ya Moshi,Anna Mushi akiomba kura mbele ya wakazi wa
mji wa Moshi wanaoishi Msaranga.(hawapo pichani).

Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya
Bomambuzi ,manispaa ya Moshi,Ludos Tarimo  akiomba kura mbele ya wakazi
wa mji wa Moshi wanaoishi Bomambuzi(hawapo pichani)

Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya
Majengo,manispaa ya Moshi,Peter Minja akiomba kura mbele ya wakazi wa
mji wa Moshi wanaoishi Majengo (hawapo pichani)
Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya
Kilimanjaro ,manispaa ya Moshi,Afrikan Mlay  akiomba kura mbele ya
wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi kata ya Kilimanjaro (hawapo pichani)

Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya
Korongoni ,manispaa ya Moshi,Charles Mkome Mkalakala akiomba kura mbele
ya wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Pasua (hawapo pichani)

Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya
Kaloleni ,manispaa ya Moshi,Francis Shio akiomba kura mbele ya wakazi wa
mji wa Moshi wanaoishi Kaloleni (hawapo pichani)

Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya
Kiusa ,manispaa ya Moshi,Stephen Ngasa akiomba kura mbele ya wakazi wa
mji wa Moshi wanaoishi Kiusa .
Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya
Kaloleni ,Manispaa ya Moshi,Reward Shelukindo akiomba kura mbele ya
wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Kaloleni  (hawapo pichani)

Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya
Shirimatunda,manispaa ya Moshi,Makupa Jonathan akiomba kura mbele ya
wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Shirimatunda. (hawapo pichani)

Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya
Mawenzi ,manispaa ya Moshi,Hawa Mushi  akiomba kura mbele ya wakazi wa
mji wa Moshi wanaoishi Mawenzi (hawapo pichani)

Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya Mji
Mpya ,manispaa ya Moshi,Abuu Shayo akiomba kura mbele ya wakazi wa mji
wa Moshi wanaoishi Mji Mpya .

Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya
Nganga mfumuni ,manispaa ya Moshi,Anthony Lyimo  akiomba kura mbele ya
wakazi wa mji wa Moshi wanaoishi Mfumuni(hawapo pichani

Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata ya
Soweto ,manispaa ya Moshi,Collins Tamimu akiomba kura mbele ya wakazi wa
mji wa Moshi wanaoishi Soweto.
Mgombea
wa nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chadema na UKAWA katika kata
ya Njoro ,manispaa ya Moshi,Jomba Koi akiomba kura mbele ya wakazi wa
mji wa Moshi wanaoishi Soweto.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

from Blogger http://ift.tt/1hMQ5e8
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/1IRAu2J

No comments:

Post a Comment