WAKULIMA wa parachichi mikoa ya Njombe na Mbeya wamehakikishiwa kuwapo kwa soko kubwa la parachichi Hapa Ulimwenguni ambapo ubora wa zao hilo unahitajika zaidi ili kuingia sokoni.
Wanahakikishiwa soko na mfanyabiashara wa Parachichi, Mbogamboga na Maua kutoka nchini Kenya wakiwa na wakulima kutoka mikoa miwili ya Mbeya na Njombe ambapo wakulima wa Rungwe Mkoani Mbeya wakiwa ziarani kwa mafunzo mkoani Njombe.
Mnunuzi kutoka nchi jirani ya Kenya anasema kuwa Parachichi linahitajika sana katika soko hapa Ulimwenguni.
Ole Sendeka anasema kuwa wakulima wanaoanza kulima zao hilo wauziwe mbegu bora na kuwepo na utaratibu maalumu wa uuzaji wa mbegu za Parachichi.
Wakulima kutoka mkoani Mbeya wanasema kuwa sasa wamejifunza mambo mbengi ambayo wataenda kuyafanyia kazi katika mashamba yao.
Hata hivyo wakulima wa Njombe baada ya kujifunza kilimo hicho mkoani Mbeya wamefanya mabadiliko makubwa katika mA huku mabadiliko wakiyaona.
WAKULIMA WA PARACHICHI WAHAKIKISHIWA BEI NZURI NJE YA NCHI…………………….
from Blogger http://ift.tt/2ouLMIV
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2nrYiHx
No comments:
Post a Comment