Tuesday, 11 April 2017

MFANYABIASHARA MEXONS SANGA AIBURUZA KAMPUNI YA TOTAL MAHAKAMANI

Mahakama ya wilaya ya Njombe  imeshindwa kusikiliza kesi ya madai inayo  kampuni ya mafuta na vilainishi TOTAL dhidi ya mfanyabiashara  Mexon sanga ambaye  amelistaki shirika hilo  akipinga kuvunjiwa mkataba wa kuendelea kufanya biashara na shirika hilo Baada ya kuletewa taarifa za kutaka kuvunjwa kwa  mkataba
Akizungumza mahakamani hapo hakimu mkazi wa mahakama ya wilaya ya njombe Samweli abasi amesema kuwa kesi hiyo haiwezi kusikilizwa kutokana na mawakili wawili wa mdai ambaye ni mexon sanga kushindwa kufika mahakamani hapo kutokana na wakili mmoja kuumwa na mwingine kuwa yuko kusimamia kesi katika mahakama nyingine.
Awali wakili wa mdaiwa ambaye ni shirika la total ameitaka mahakama kutupilia mablai shauri hilo kutokana na mawakili hao kushindwa kuwasilisha taarifa za kuto fika mahakamani lakini hakimu abasi anayeendesha kesi hiyo amesema kuwa taarifa zilifika mahakamni  isipo kuwa kwa mdaiwa ambaye ni total na kwamba mdai anatakiwa kumlipa mdaiwa gharama za usafiri huku kesi hiyo ikipangiwa siku nyingine ya kusikiliza
Kesi hiyo ya kupinga kuvunjwa kwa mkataba kati ya kampuni ya vilainishi total na mfanyabiashara mexons sanga wa njombe imepangwa kusikilizwa april 22 mwaka huu katikamahaka ya hakimu mkazi njombe.
Nje ya mahakama ya wilaya ya njombe akizungumza na wandishi wa habari wakili wa mshtakiwa ambaye ni kampuni ya tolal isaya matambo  amesema  

from Blogger http://ift.tt/2o0BsYm
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nxS65F
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2or90lO
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2p00vfp
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2pnhKXh
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2p0Eayb
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oSHPBn
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oldXfi
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oZusyI
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nXurqo
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2olJ8ai
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2pojVK8
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2olMwAn
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2polN5y
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2p115fD
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2ovjCA5
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2onScLN

No comments:

Post a Comment