Wakazi wa mtaa wa NAMANYINGU kata ya MSHANGANO Manispaa ya Songea Mkoani RUVUMA, wamewalazimisha mume na mke kuchimba kaburi la mtoto wao aitwaye DANROAD MAHUNDI mwenye umri wa miaka 36 ambaye inasemekana wazazi wake wamemua kwa njia za kishirikina,Baba na mama walazimishwa kuchimba kaburi la Mtoto wao huko Songea, Ni baada ya kutuhumiwa Kumuua kiuchawi
Baada ya baba kuona hali ya kuchimba kaburi inawaelemea, akaamua kusema mwanae ni kweli hajafa, anawaomba wananchi waende nae akawaoneshe mtoto huyo alipo
from Blogger http://ift.tt/2lFlLri
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2mbRXQY
No comments:
Post a Comment