Wednesday 22 March 2017

NJAA YAUA WATU 26 SOMALIA

Watu 26 katika mkoa wa Jubbaland nchini Somalia wanaripotiwa kupoteza maisha kutokana na kuwepo kwa njaa kali katika eneo hilo.
Watu hao wamepoteza maisha kutokana na hali ya ukame ambayo unalikabili taifa hilo jambo ambalo limesababisha wanyama kufa na mazao kukauka nakuwaacha wanancha watu milioni 6.2 bila chakula.
Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Somalia, Mohamed Hussein amesema watu hao wamepoteza maisha katika kipindi cha masaa 36 yaliyopita na wengi wao wanakimbilia mji mkuu Mogadishu ili kupata msaada.
“Watu wa maeneo hayo wanahitaji msaada wa haraka sana,” alisema Hussein.
KAMA ULIMIS VIDEO YA MCHEZAJI WA Ghana  ALIE JIKANYAGA KWA KUWASHUKURU MKE NA MCHEPUKO WAKE TAZAMA HAPA

from Blogger http://ift.tt/2nGIMw0
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2mpaywF
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nP6eUA
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2o1hHzv
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2n4NLTW
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2naPJnn
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nPNJiQ
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2nHqCdo

No comments:

Post a Comment