Monday 20 March 2017

Nape Baada ya Makonda Kuvamia Kituo cha Clouds Fm..!!!

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amefunguka kupitia mitandao ya kijamii juu ya madai ya kuvamiwa kwa kituo cha Redio Clouds FM majira ya saa nne usiku, siku ya Ijumaa kuamkia Jumamosi.
Aidha Nape amewataka wanahabari watulie mpaka pale jambo hili litakapo patiwa ufumbuzi.
“Litatolewa ufafanuzi”, aliandika Nape.

from Blogger http://ift.tt/2mZxzTP
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2mHa4gJ

No comments:

Post a Comment