Friday 17 March 2017

Namna ya kukabiliana na kikohozi kwa siku moja tu.

Vitunguu vinapendekezwa kwa hali ya upumuaji,ikiwa ni pamoja na kikohozi na homa. Endapo vikitumika vikiwa vibichi, ina aminika kuwa nzuri zaidi. Vina flavanoids na compaund za sulfur, ambavyo vinafanya Kitunguu kuwa na manufaa kwa moyo, viwango vya cholesterol, kisukari,arthris, na kwa ujumla kama antioxidant.

viungo.
1. Paundi moja ya vitunguu
2. Lita 3 za maji

Njia za kufuata:
Ondoa ngozi yote ya juu ya vitunguu,na kila kimoja kata vipande vinne,kisha weka vitunguu vyako kwenye sufuria yenye maji, na anza kuvichemsha. Chemsha maji kwa mda wa nusu saa, na kisha viache vipoe.

Kunywa kikombe kimoja na nusu mara mbili kwa siku, ukipenda unaweza ukachanganya na asali na limao.

from Blogger http://ift.tt/2m9iYrT
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2m9kdHz

No comments:

Post a Comment