Wednesday 15 February 2017

VIDEO: Mchekeshaji Eric Omondi kaigiza sehemu ya movie ya ‘Adam na Eva’

Mchekeshaji wa Kenya Eric Omondi amekuwa na utundu wa kuzirudia na kuziigiza movie na nyimbo za mastaa mbalimbali ambapo wakati huu ameirudia sehemu ya movie ya Adam na Eva wakiwa kwenye bustani ya Eden.

from Blogger http://ift.tt/2lgtVGJ
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2lgKtP7

No comments:

Post a Comment