Tuesday 17 January 2017

VIDEO: Lowassa akamatwa, Wananchi wasimulia alivyokamatwa na polisi

Leo January 16 2017 zimeripotiwa taarifa za polisi Geita kumkamata waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa wakati akiwa anaenda kwenye kampeni za uchaguzi Kata ya Nkome na baadaye aliachiwa ambapo taarifa za polisi zinadai kuwa walimzuia kwa sababu za kiusalama.
Kupitia kituo cha Television cha Azam wameripoti habari ya kukamtwa kwa Lowassa ambapo baadhi wa wananchi wameeleza ilivyokuwa………
‘Tulikuwa kwenye msafara ya kumpokea Lowassa lakini tulipofika hapa satand wananchi walitaka kuongea na Lowassa, kabla hata hajashuka kwenye gari askari walituvamia wakasema tuondoke moja kwa moja twende kituoni’

from Blogger http://ift.tt/2iuXfIY
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2iuZImK

No comments:

Post a Comment