Msanii wa nyimbo za kizazi kipya Fid Q akitoa burudani kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Makongo jijini Dar es Salaam, wakati wa tamasha la Coke Studio lililandaliwa na Kampuni ya Coca-cola.
Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayeshiriki katika onyesho la Coke Studio msimu huu mwishoni mwa wiki alishiriki tamasha la Coke Studio liiloandaliwa na kampuni ya Coca Cola katika Sekondari ya Makongo mwishoni mwa wiki ambapo aliwapatia burudani murua na ushirikiana nao kucheza na kuimba ambapo baadhi ya wanafunzi walionyesha vipaji vyao vya kuimba kwa kushiriki kuimba nyimbo mbalimbali.
from Blogger http://ift.tt/1WWwXNT
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/1NXAzt7
No comments:
Post a Comment