Watu watano kati ya sita waliofukiwa katika machimbo ya manyara kwa siku 41 wameokolewa usiku wa kuamkia leo wakiwa hai.
Watu hao walikuwa wakiishi kwa kula nguo zao magome ya miti na udongo ambapo walikuwa umbali wa zaidi ya kilometa 10 ardhini baada ya kuangukiwa na kifusi..
Hivi sasa wamelazwa katika hospitali ya Kahama.
from Blogger http://ift.tt/1LiDI0i
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/1YdQ0Au
No comments:
Post a Comment