Baadhi ya Washiriki wa semina kutoka wizara mbalimbali wakimsikiliza kwa makini Mhe Balozi Wilson Masilingi alipokua akiwakaribisha na kutoa yake machache.
Pichani ni waandaaji wa semina hiyo waliokua wameongozana na wenyeji wao kuja kutembelea Ubalozi wa Tanzania Washington DC .
PICHA ZOTE KWA HISANI YA CAMERA YA UBALOZI. |
from Blogger http://ift.tt/1J4oviq
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/1VTlw5m
No comments:
Post a Comment