WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 12/09/2015.
[Mikoa ya Mara na Kagera]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, Mvua
na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua. |
|
[Mikoa ya Ruvuma, Katavi,
Mbeya, Iringa, Njombe na Rukwa]: [Mikoa ya Mwanza,Shinyanga,
Kigoma, Tabora na Singida]: [Mikoa ya Dar es Salaama,Morogoro,
Pwani na Tanga] [Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]: [Mikoa ya Dodoma, Mtwara na
Lindi]: [Visiwa vya Unguja na Pemba]:
|
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua. |
TAHADHARI:
UPEPO MKALI UNAOZIDI KM40 KWA SAA NA MAWIBI
MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI.
MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto |
Kiwango
cha chini cha joto |
Mawio
(Saa) |
Machweo
(Saa) |
ARUSHA
|
27°C
|
18°C
|
12:30
|
12:31
|
D’SALAAM
|
30°C
|
22°C
|
12:19
|
12:20
|
DODOMA
|
29°C
|
19°C
|
12:43
|
12:34
|
KIGOMA
|
33°C
|
19°C
|
12:57
|
12:58
|
MBEYA
|
25°C
|
07°C
|
12:44
|
12:42
|
IRINGA
|
27°C
|
14°C
|
12:34
|
12:33
|
MWANZA
|
30°C
|
21°C
|
12:43
|
12:46
|
TABORA
|
32°C
|
19°C
|
12:45
|
12:46
|
TANGA |
29°C
|
22°C
|
12:20
|
12:21
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
22°C
|
12:19
|
12:20
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki; kwa kasi
ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kwa
kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kwa
kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi hadi Makubwa.
Matazamio kwa siku ya Jumatatu:
14/09/2015: Mabadiliko kidogo.
14/09/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 12/09/2015.
huu umetolewa leo tarehe: 12/09/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
from Blogger http://ift.tt/1F4q5Wn
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/1MiV1oo
No comments:
Post a Comment