Tuesday, 8 September 2015

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA jana

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 07/09/2015.
[Mikoa ya Kigoma, Geita,
Mara na Kagera]:
Hali ya Mawingu kiasi, Mvua
na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Mwanza]:
Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo
katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Tanga pamoja na
Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Ruvuma, Katavi,
Mbeya, Iringa, Njombe na Rukwa]:
[Mikoa ya Tabora, Shinyanga,
Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:
[Mikoa ya Morogoro, Dar es
Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango
cha juu cha joto
Kiwango
cha chini cha joto
Mawio
(Saa)
Machweo
(Saa)
ARUSHA
25°C
16°C
12:33
12:35
D’SALAAM
32°C
20°C
12:24
12:22
DODOMA
29°C
17°C
12:38
12:36
KIGOMA           
31°C
21°C
01:02
01:00
MBEYA
26°C
14°C
12:49
12:43
IRINGA
27°C
13°C
12:39
12:35
MWANZA
28°C
19°C
12:47
12:49
TABORA
33°C
19°C
12:50
12:48
TANGA
30°C
21°C
12:25
12:23
ZANZIBAR
31°C
22°C
12:24
12:22
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi
ya km
20 kwa saa kwa Pwani yote.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.
Matazamio kwa siku ya Jumatano: 09/09/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 07/09/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

from Blogger http://ift.tt/1NeXJtB
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1K4mdVE

No comments:

Post a Comment