Ni Liberatus Mwang’ombe aka “Libe” aliye wahi kukaa DMV, USA na sasa yupo kwenye harakati za kwenda Dodoma.
Libe katika ubora wake
Libe akiingia mkutanono na ulinzi shirikishi
Mafuriko ya mbunge
Peoples’… POWER!!!
Akiwa njiani kuelekea kwenye mikutabo, Libe huongea na mtu mmoja mmoja
Mh. Mwang’ombe anaamini kuwa huwezi kuibadili Dodoma kwa kukaa nje ya mjengo. Ni lazima uingie Dodoma ili uweze kuibadilisha na kupitisha agenda za diaspora. Hivyo basi, anawaomba diaspora wote bila kujali itikadi wala tofauti zao kumsaidia kwa hali na mali ili atimilize ndoto ya kupenyeza hoja za diaspora
from Blogger http://ift.tt/1NeXIWO
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/1FuZdK0
No comments:
Post a Comment