Thursday 10 September 2015

Nimekusogezea pichaz 26 za Mkutano wa Ukawa Dodoma Kibaigwa 10 sept

Toka tarehe 29 August ulipofanyika uzinduzi wa kampeni Ukawa bado wameendelea kusogea sehem mbali mbali za kuwafikia wananchi na leo Sept 10 Mkoani Dodoma katika wilaya ya Kongwa mji mdogo Kibaigwa katika uwanja wa Amani wamefanya mkutano na Edward Ngoyai Lowassa.
Ni wajibu wangu kukusogezea kila kinachonifikia na hapa nimekuwekea picha za mkutano mtu wangu.
Screen Shot 2015-09-10 at 7.15.58 PM
Wakazi wa Kibaigwa wakiwa karibu na usafiri wa mgombea uraisi 2015
Screen Shot 2015-09-10 at 7.16.06 PM
Screen Shot 2015-09-10 at 7.16.13 PM
Screen Shot 2015-09-10 at 7.16.18 PM
Frederick Sumaye akizungumza na wakazi wa Kibaigwa
Screen Shot 2015-09-10 at 7.16.24 PM
Screen Shot 2015-09-10 at 7.16.31 PM
Screen Shot 2015-09-10 at 7.16.37 PM
Wengine walifanya maamuzi ya kukaa chini
Screen Shot 2015-09-10 at 7.16.43 PM
Screen Shot 2015-09-10 at 7.16.50 PM
Hili ndio gari lililokuwa likitumika kama jukwaa
Screen Shot 2015-09-10 at 7.16.57 PM
Screen Shot 2015-09-10 at 7.17.05 PM
Screen Shot 2015-09-10 at 7.17.12 PM
Screen Shot 2015-09-10 at 7.17.21 PM
Screen Shot 2015-09-10 at 7.17.29 PM
Screen Shot 2015-09-10 at 7.17.35 PM
Wamama nao hawakuwa mbali na eneo la mkutano
Screen Shot 2015-09-10 at 7.17.43 PM
Screen Shot 2015-09-10 at 7.18.02 PM
Hawa ndio wagombea kwa nafasi ya udiwani wakitambulishwa na mgombea urais Edward Lowassa
DSC_9600
Edward Lowassa akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Kongwa Essau Ngobei
Screen Shot 2015-09-10 at 7.18.09 PM
Screen Shot 2015-09-10 at 7.18.16 PM
Screen Shot 2015-09-10 at 7.18.23 PM
Screen Shot 2015-09-10 at 7.18.30 PM
Screen Shot 2015-09-10 at 7.18.37 PM

from Blogger http://ift.tt/1JZpBjk
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1VQpiN8

No comments:

Post a Comment