Monday, 7 September 2015

Mgombea mwenza wa Ukawa sasa ni Tanga anazisaka kura za mtanzania

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Tangamano mjini Tanga.
 Wafuasi wa Ukawa wakifuatilia mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Mkinga.
 Wafuasi wa Ukawa Mkinga.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Pangani, Amina Mwidau.
Mfuasi wa Ukawa akiwa na bango.
Umati wa wafuasi wa Ukawa wakifuatilia mkutano wa kampeni katika uwanja wa Tangamano. Picha zaidi>>>FK MATUKIO

from Blogger http://ift.tt/1NdvtaR
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1i84YbG

No comments:

Post a Comment