Monday 7 September 2015

Magufuli Morogole akiendelea kusaka kura za watanzania

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisistiza jambo katika mkutano huo.
 Wananchi wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Jamhuti mjini Morogoro kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo Dkt Magufui aliwahutubia wananchi hao sambamba na kuzinadi sera zake
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwapungia mikono wananchi huku wakiwa wameshika kofia zao.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Morogoro mjini,Mh Azizi Abbod mbele ya maelfu ya wananchi (hawapo pichani) kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro. Picha zaidi >>>FK MATUKIO

from Blogger http://ift.tt/1PX2LKv
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1QkdTlA

No comments:

Post a Comment