Saturday 22 August 2015

MGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA ATEKWA AKIRUDISHA FOMU JIMBO LA SHINYANGA MJINI


 
Mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini na m/kiti BAVICHA Taifa, ndugu Patrobas Katambi inasemekana ametekwa muda mfupi uliopita na kunyang’anywa fomu zake za ubunge.
Nimezungumza na mwenezi wa jimbo hilo na kuthibitisha hilo lakini pia simu ya mgombea haipatikani.
Nimeongea pia na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha hili.


from Blogger http://ift.tt/1Lqyc1J
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1LqEn5S

No comments:

Post a Comment