RC wa Dar Ameandika ujumbe wa mafumbo kupitia ukurasa wake wa Instagram, Haijaeleweka na Nani analegwa hapo..Embu jisomee na wewe labda unaweza tegua mtego
By @paulmakonda
“Hakuna kitu kibaya kama kudanganywa na mtu huku ukijua anakudanganya na wakati huo huo anaekudanganya hajui kama unajua anakudanganya. Basi kazi yako inakuwa nikucheka kimoyomoyo”
from Blogger http://ift.tt/2oXd2jF
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2pjHWls
No comments:
Post a Comment