Wednesday, 12 April 2017

Mwakyembe Amjibu Juma Nkamia Juu ya Yeye Kukaa Meza Moja na Roma Mkatoliki Siku Alipokutana na Waandishi wa Habari..!!!

Mwakyembe: Idara ya Habari Maelezo iko ndani ya Wizara yangu, ofisi yangu iko pale, mimi nimefuata mtu au amekuja ofisini kwangu.
Mwakyembe: Roma alivyopotea ndugu zake walikua wananipigia mimi simu na sio Nkamia huyu kijana aliyetekwa ameniomba mimi nimsaidie’
Mwakyembe: Mheshimiwa Nkamia unashangaa mimi kukaa na hawa vijana, unataka ukae naye wewe’

from Blogger http://ift.tt/2oXFaX9
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2oowZzP

No comments:

Post a Comment