Mahakama ya wilaya ya Njombe imeshindwa kusikiliza kesi ya madai inayo kampuni ya mafuta na vilainishi TOTAL dhidi ya mfanyabiashara Mexon sanga ambaye amelistaki shirika hilo akipinga kuvunjiwa mkataba wa kuendelea kufanya biashara na shirika hilo Baada ya kuletewa taarifa za kutaka kuvunjwa kwa mkataba
Akizungumza mahakamani hapo hakimu mkazi wa mahakama ya wilaya ya njombe Samweli abasi amesema kuwa kesi hiyo haiwezi kusikilizwa kutokana na mawakili wawili wa mdai ambaye ni mexon sanga kushindwa kufika mahakamani hapo kutokana na wakili mmoja kuumwa na mwingine kuwa yuko kusimamia kesi katika mahakama nyingine.
Awali wakili wa mdaiwa ambaye ni shirika la total ameitaka mahakama kutupilia mablai shauri hilo kutokana na mawakili hao kushindwa kuwasilisha taarifa za kuto fika mahakamani lakini hakimu abasi anayeendesha kesi hiyo amesema kuwa taarifa zilifika mahakamni isipo kuwa kwa mdaiwa ambaye ni total na kwamba mdai anatakiwa kumlipa mdaiwa gharama za usafiri huku kesi hiyo ikipangiwa siku nyingine ya kusikiliza
Kesi hiyo ya kupinga kuvunjwa kwa mkataba kati ya kampuni ya vilainishi total na mfanyabiashara mexons sanga wa njombe imepangwa kusikilizwa april 22 mwaka huu katikamahaka ya hakimu mkazi njombe.
Nje ya mahakama ya wilaya ya njombe akizungumza na wandishi wa habari wakili wa mshtakiwa ambaye ni kampuni ya tolal isaya matambo amesema
from Blogger http://ift.tt/2o0BsYm
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2nVmthv
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2p00ubl
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2osCNKJ
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2okPSFq
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2o1VuSD
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2ol9CbS
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2okQqd2
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2nXxFdv
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2nXvqa4
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2pnWPmI
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2ouhqZA
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2ouFprw
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2p0SyJC
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2omhzfs
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2onO92p
No comments:
Post a Comment