Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ameendelea na mahubiri yake ya kila Jumapili huku jana akiibua mada ya watanzania waliojiunga na Freemason.
Katika mahubiri hayo, Gwajima alisema wapo watanzania ambao umaarufu wao unatokana na dini ya Freemason huku akihusisha Freemason na imani za kichawi.
“Nataka kabla hujamuimba mchungaji gwajima, urudie mara mbili, natetea wafungwa, askari, walioumizwa, walioachwa, matajiri na maskini,” alisema
from Blogger http://ift.tt/2oX7LIy
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2pjQoRV
No comments:
Post a Comment