Ikiwa ni lengo la kupungumza msongamano wa magari jijini Dar es Salaam serikali inaendesha ujenzi wa daraja la kisasa litakalokatika juu ya habari ili kupunguza idadi ya magari yanayolazomika kutumia njia ya Ali Hassan Mwinyi wakati wa kuingia na kutoka mjini.
Daraja la Salender ambalo litakuwa ni la kisasa litaunganisha pande mbili kuanzia Coco Beachi (Oysterbay) kwenda Hospitali ya Aga Khan (Maeneo ya Ocean Road/ Baraka Obama Road).
Serikali iliesema kuwa ujenzi wa daraja hilo litakalokuwa na urefu wa kilometa 7 zikiwemo kilometa 1.4 zitakazopita baharini, unatarajiwa kukamilika mwaka 2020.
Rais Dkt Magufuli (kulia) akiwa na Balozi wa Korea Kusini (kushoto) walipokutana kujadili kuhusu ujenzi wa Daraja la Salender Ikulu Dar es Salaam.
Hapa chini ni picha za muonekano wa daraja hilo pindi litakapokamilika.
Jamaa atengeneza ndege YAFANIKIWA KURUKA
from Blogger http://ift.tt/2lHCBpU
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2lC0fDM
No comments:
Post a Comment