Friday 16 October 2015

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 16/10/2015.

 WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 16/10/2015.
[Mikoa ya Kigoma, Mwanza,Mara,Geita,Shinyanga
na Kagera]:
Hali ya Mawingu, mvua na
ngurumo Katika
 baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Rukwa na Tabora]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
na ngurumo
katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tanga,Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
katika
maeneo machache na vipindi
vya jua.
[Mikoa ya Mbeya, Katavi,
Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara,Morogoro
na Ruvuma]:
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua
ANGALIZO
VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA
YA
KAGERA,MARA,MWANZA,KIGOMA,SHINYANGA NA
GEITA.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango
cha juu cha joto
Kiwango
cha chini cha joto
Mawio
(Saa)
Machweo
(Saa)
ARUSHA
28°C
17°C
12:18
12:24
D’SALAAM
32°C
21°C
12:05
12:15
DODOMA
31°C
17°C
12:19
12:28
KIGOMA           
30°C
21°C
12:44
12:52
MBEYA
28°C
14°C
12:28
12:39
IRINGA
29°C
15°C
12:19
12:30
MWANZA
27°C
19°C
12:32
12:37
TABORA
34°C
20°C
12:32
12:40
TANGA
30°C
24°C
12:07
12:15
ZANZIBAR
32°C
23°C
12:05
12:15
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka
Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa
Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa Kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumapili:
18/10/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 16/10/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

from Blogger http://ift.tt/1Ledwr2
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1LxV0eD

No comments:

Post a Comment