Sunday 19 March 2017

TzTown Tv: Utalii unaendana na Hoteli Nzuri Mahotelia watata elimu

UTALII umedaiwa kuwa na nguzo nyingi ili kuimarisha sekta hiyo nguzo hizo zinahitajika kuwa imara ambapo moja ya nguzo hizo ni pamoja na Hoteli kitu kinacho vutia watalii kuenda katika maeneo ya utalii.
Mkoa wa Njombe umepata fursa ya wahudumu, wamiliki na mameneja kupata mafunzoya siku tatu juu ya kutoa huduma bora za Huteli na Malazi ambayo yatavuta watalii kuingia mkoani humo kutembelea vivutia vya utalii.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamiliki na wahudumu wa Hoteli mkoani Njombe wamesema kuwa wamekuwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ya elimu ya utoaji wa huduma bora na baadhi ya jamii kuogopa majengo kwa kuhofia gharama kubwa.
Watoa mafunzo kwa wahudumu wa Hoteri wanasema kuwa wameona nguzo ya Hotel ni muhumu kupata elimu kabla ya yote huku ikidaiwa kuwapo kwa huduma bora kunatangaza utalii pia.
Katibu tawala mkoa wa Njombe anasema kuwa utalii kwa nyanda za juu kusini una changamoto matangazo kitu kinacho wanyima watu kufahamu vivitio vilivyopo nyanda za juu kusini.
Tazama Mahotelia wakipatiwa elimu Njombe jinsi ya kuwakarimu watalii………………………
ggggggggggggg

from Blogger http://ift.tt/2mWL5aM
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2mWRqTY

No comments:

Post a Comment