Thursday, 22 October 2015

SIRI YA AJALI YA NAPE NNYAUYE ,CHADEMA WAOMBA DUA MBAYA


Jana kuna mkutano ulifanyika maeneo ya Sokoni Mtama na uliongozwa na ndg Selemani Methew Luwongo mgombea wa Chadema – Mtama.
Badala ya kutoa Sera, Seleman na wenzake waliomba dua mbaya kwa ndg Nape Nnauye ili apate madhara yoyote. Dua hizo ziliongozwa na mzee Litaka.


Zipo taarifa za kuaminika kuwa Seleman Mathew anatumia ushirikina kwenye harakati zake za kisiasa na amefanya majaribio kadhaa ya wazi ya kumdhuru Nape lakini Mungu anamnusuru.
Aidha, kutokana na chuki kubwa ambayo Lowasa ameiweka kwa Nape, inadaiwa kuwa ametuma watu wake ambao wapo kwenye mamlaka ya mzee Kingunge Ngombale Mwiru, mlezi wa chama cha Tiba Asilia ili washirikiane na Mzee Litaka waweze kumshughulikia Nape Nnauye.
Hakika sasa siasa imegeuka kuwa uadui. Mungu atuepushie mbali na watu hawa ambao mafanikio ya wenzao yanawachukiza. 

from Blogger http://ift.tt/1GtaQXM
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1QXYB5Z

No comments:

Post a Comment