Friday, 23 October 2015

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 22/10/2015.

 WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 22/10/2015.
[Mikoa ya Mwanza, Mara, Geita
na Kagera]:
[Mikoa ya Katamvi na Kigoma]:
Hali ya Mawingu, mvua na
ngurumo Katika baadhi ya Maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Tabora, Rukwa na
Shinyanga]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
na ngurumo Katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
katika
maeneo machache na vipindi
vya jua.
[Mikoa ya Tanga, Ruvuma, Lindi
na Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika
maeneo machache na vipindi
vya jua.
[Mikoa ya Morogoro, Dar es
Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa na
Njombe]:
[Mikoa ya Dodoma na
Singida]:
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua
ANGALIZO
VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA
YA
KAGERA, MWANZA, KIGOMA, KATAVI
NA GEITA
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango
cha juu cha joto
Kiwango
cha chini cha joto
Mawio
(Saa)
Machweo
(Saa)
ARUSHA
29°C
16°C
12:13
12:23
D’SALAAM
32°C
22°C
11:59
12:15
DODOMA
31°C
18°C
12:14
12:29
KIGOMA           
30°C
20°C
12:39
12:52
MBEYA
27°C
16°C
12:21
12:39
IRINGA
28°C
17°C
12:13
12:30
MWANZA
27°C
21°C
12:28
12:36
TABORA
33°C
19°C
12:27
12:40
TANGA
31°C
23°C
12:02
12:15
ZANZIBAR
33°C
23°C
11:59
12:15
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka
Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki
kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.
Matazamio kwa siku ya Jumamosi:
24/10/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 22/10/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

from Blogger http://ift.tt/1RrRWky
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1RrVD9O

No comments:

Post a Comment