Sunday 26 March 2017

PICHA: WAZIRI MAKAMBA AKINYOA NYWELE KABLA YA KUANZA ZIARA WILAYANI MWANGA, K’NJARO

WhatsApp Image 2017-03-25 at 10.09.19 AM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira na Mbunge wa Jimbo la Bumbuli Mkoani Tanga, January Makamba akinyoa nywele mapema leo asubuhi katika Kijiji cha Mgagau, Kata ya Mgagau, Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro wakati akiendelea na ziara ya mazingira katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania.
Waziri Makamba yupo mkoani Kilimanjaro ambapo alifika akitokea Tanga na Pwani ambapo kote amepita ikiwa ni ziara ya mazingira inayolenga kutambua changamoto za kimazingira katika mikoa hiyo na kuweka mikakati sahihi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Waziri Makamba alikwenda kunyoa nywele mapema leo asubuhi kabla ya kuanza ziara ya mazingira wilayani humo ambapo akimaliza ziara katika Mkoa wa Kilimanjaro, anatarajia kwenda jijini Arusha.
Hapa chini ni picha sita za Waziri Makamba akinyoa nywele wilayani Mwanga.
TAZAMA HARMORAPA ALIVYO TIMUA MBIO BAADA YA KUIONA BASTOLA

from Blogger http://ift.tt/2mBxx7R
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nynLCT
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2og6xXS
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2n26k9T
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2n2ttJ5
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nQFs0Z
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nQMe6H
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2ni5vvl
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nUkI95
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2mCy3T7
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2ohSCAx

No comments:

Post a Comment