Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu aongea kuhusu Nape Kutumbuliwa
Rais John Magufuli afanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri, amteua Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo. Nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Nape Nnauye. -Pia amemteua Prof. Palamagamba Kabudi kuwa waziri wa Katiba na sheria.
TAZAMA JAMAA HUYU ALIVYOKOSWA KOSWA NA KIFO KWA AJARI MTONI
No comments:
Post a Comment