Friday 24 March 2017

Magufuli Ampangia Kazi Nyingine Kamishana wa TRA…!!!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, jana tarehe 23 Machi, 2017 amemteua Bw. Alphayo Kidata kuwa Katibu Mkuu, Ikulu.
Bw. Alphayo Kidata anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Peter Ilomo ambaye amestaafu.
Kabla ya uteuzi huo Bw. Alphayo Kidata alikuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na nafasi hiyo itajazwa baadaye.
Uteuzi wa Bw. Alphayo Kidata unaanza mara moja na ataapishwa leo tarehe 24 Machi, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
TAZAMA JAMAA HUYU ALIVYOKOSWA KOSWA NA KIFO KWA AJARI MTONI

from Blogger http://ift.tt/2nXMs9z
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nup85A
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2obWumI

No comments:

Post a Comment