Aliyekuwa Mume wa Zamani wa Zari Hassan Azidiwa na Pesa Aamua Kuzigawa Mtaani
Mume wa zamani wa Mrembo Zari Hassan Anayeitwa Ivan Amenaswa Mtaani akigawa Pesa kwa watu wasiojiweza huko nchini Uganda….Inasemekana jamaa huyu anamkwaja wa kutosha mpaka hajui pa kuupeleka kiasi ambacho ameamua kuzigawa barabarani…
No comments:
Post a Comment