Thursday, 17 November 2016

TANESCO WATAKIWA KUHAMIA LUPEMBE JUMATATU WIKI IJAYO


NAIBU waziri wa Nishati na Madini Dr. Medard Kalemani
ameagisha shirika la umeme Tanzania Tanesco kufungoa ofisi zake jumatatu wiki
ijayo katika halmashauri ya wilaya ya Njombe ili kuwasogezea wananchi huduma ya
Umeme.
Hayo ameyasema wakati akizungumza na wakazi wa Matembe
halmashauri ya wilaya ya Njombe ambako wananchi wake wamekuwa wakisafiri umbari
mrefu kutafuta huduma.

Hiyo ni kauli ya kalemani wakati akizungumza na hawa
wananchi.
Meneja wa tanesco mkoa wa Njombe anasema ijumaa ya wiki hii ataanza
kufanya maandalizi ya kuhamia eneo hilo la matembwe.

from Blogger http://ift.tt/2g03eA5
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2g1lBIv

No comments:

Post a Comment