Friday 23 September 2016

NAIBU WAZIRI MASAUNI APANDA MABASI YA MWENDO KASI, JIJINI DAR

NaibuWaziriwaMamboyaNdaniyaNchi,MhandisiHamadMasauniakikata tiketi ya mabasi
ya Mradi wa Mabasi ya Mwendo Kasi ya UDA-RT katika Kituo cha Ubungo jijini Dar es Salaam
kwa ajili ya kusafiri na mabasi hayo kutoka katika kituo hicho kuelekea Posta. Kushoto niMkuu
wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga naye akiwa
mmoja wa wasafiri wa mabasi hayo. Masauni aliyapanda basi la Mwendo kasi mara baadaya
kufanya ziara ya kushtukiza katika Stendi Kuu ya Mabasi Ubungo kukagua mabasi mabovu
pamoja na usalama wa abiria. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


NaibuWaziriwaMamboyaNdaniyaNchi,MhandisiHamadMasauni akiigusisha tiketi yake
katika mashine ya Mradi wa Mabasi ya Mwendo Kasi ya UDA-RT katika Kituo cha Ubungo
jijini Dar es Salaam ili mruhusu kuingia ndani ya stendi hiyo kwa ajili ya kusafiri na mabasi
hayo kutoka katika kituo hicho kuelekea Posta. Mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza
katika Stendi Kuu ya Mabasi Ubungo kukagua mabasi mabovu pamoja na usalama wa abiria
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Naibu WaziriwaMamboya Ndani yaNchi,MhandisiHamadMasauni akiingia ndani ya Basi la
Mradi wa Mabasi ya Mwendo Kasi ya UDA-RT katika Kituo cha Ubungo jijini Dar es Salaam
kwa ajili ya kusafiri na basi hilo kuelekea katikati ya Jiji, baada ya kufanya ziara yakushtukiza
katika Stendi Kuu ya Mabasi Ubungo kukagua mabasi mabovu pamoja na usalama waabiria.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


NaibuWaziriwaMamboyaNdaniyaNchi,MhandisiHamadMasauniakiwa ndani ya moja ya
mabasi ya mradi wa mabasi ya mwendo kasi ya UDA-RT jijini Dar es Salaam akitoka kituocha
Ubungo kuelekea katikati ya Jiji, baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika Stendi Kuu ya
Mabasi Ubungo kukagua mabasi mabovu pamoja na usalama wa abiria. Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.


NaibuWaziriwaMamboyaNdaniyaNchi,MhandisiHamadMasauniakitelemka katika moja
ya mabasi ya mradi wa mabasi ya mwendo kasi ya UDA-RT jijini Dar es Salaam katika kituo cha
Nyerere, Posta. Masauni alipanda basi hilo akitokea Ubungo baada ya kufanya ziara ya
kushtukiza katika Stendi Kuu ya Mabasi Ubungo kukagua mabasi mabovu pamoja nausalama
wa abiria. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.



NaibuWaziriwaMamboyaNdaniyaNchi,MhandisiHamadMasauni akiondoka katika Kituo
cha Mabasi ya Mwendokasi cha Nyerere, Posta, mara baada ya kusafiri na usafiri huoakitokea
Ubungo, jijini Dar es Salaam, baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika Stendi Kuu ya Mabasi
Ubungo kukagua mabasi mabovu pamoja na usalama wa abiria. Katikati ni Mkuu wa Kikosicha
Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga Picha zote na Wizara ya

Mambo ya Ndani ya Nchi

****************************

  • STORY STORY
    Masauni apanda mabasi ya Mwendo Kasi jijini Dar es Salaam
    Felix Mwagara, MOHA
    NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameupongeza Mradi
    wa Mabasi ya Mwendo Kasi ya UDA-RT wa jijini Dar es Salaam na kuwataka wananchi
    waendelee kuyatumia mabasi hayo wanaposafiri sehemu mbalimbali jijini humo.
    Mhandisi Masauni ameyasema hayo jana mara baada ya kusafiri na mabasi hayo kutoka kituo
    cha mabasi hayo cha Ubungo mpaka katikati ya jiji kwa lengo la kujionea jinsi mabasi hayo ya
    mwendokasi yanavyohudumia abiria pamoja na kuwapa moyo wananchi kuwa usafiri huo
    unatumiwa na mwananchi wa aina yeyote.
    Akizungumzia usafiri huo, Masauni alisema mradi huo umerahisisha sana usafiri kwani
    ametumia dakika chake akitokea Ubungo hadi Posta katikati ya jiji bila usumbufu wowote, hivyo
    mradi huo ameomba uendelee kulindwa pamoja na kutunzwa na UDA-RT na wananchi wenyewe
    kwa ujumla.
    “Mimi kwa kweli nimeufurahia sana usafiri huu, Serikali imefanya jambo kubwa sana kwa
    wananchi wake, kwa kuwajali wananchi kwa kuuleta mradi huu ambao unarahisisha safari kwa
    uharaka zaidi na pia unapendezesha jiji kwa jinsi magari yalivyo nadhifu,” alisema Masauni
    ambaye pia alilipa nauli kwa kupanga foleni kama wananchi wengine wanavyofanya wanapotaka
    kusafiri na usafiri hu

from Blogger http://ift.tt/2dgvvGx
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2czeX9V

No comments:

Post a Comment