Saturday 13 August 2016

WANANCHI WAOMBA SERIKALI KUKAMILISHA JENGO LA DHAHANATI

KIJIJI cha Ilela kata ya Lupingu wilayali Ludewa mkoa wa Njombe hakina
zahanati na hivyo wakazi wake wanategemea huduma kijiji cha Ngrlenge kata ya
Manda ambacho nacho kinakabiliwa na na chngamoto ya watumishi na jingo la
huduma za mama na mtoto.
Upande wake mganga mkuu wa Zahanati ya Mgelenge Edward Kayuni
amesema  imejengwa mwaka 1992 lakini hadi
sasa inakabiliwa na changamoto lukuki ikiwa na nyumba moja ya mganga kati ya
nane zinazo hitajika.
Amesema Zahanati hiyo inahudumia zaidi ya vijiji viwili
ambapo inaukosefu vifaa muhimu mbalimbali vikiwemo na vitendea kazi.
Mbunge wa jiombo la Ludewa Deo Ngalawa anaamua kumpigia simu
Mganga mkuu wa wilaya Ludewa ili kujua ujenzi huo utakamilika lini.

Hata hivyo wananchi wanasikitishwa na kutoa michango mingi
kwaajili ya ujenzi huo lakini bado jengo hili halija kamilika

from Blogger http://ift.tt/2bqx2r9
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2bsmzwU

No comments:

Post a Comment