Monday, 23 May 2016

Utabiri wa hali ya hewa kwa tarehe 24 kuanzia usiku wa tarehe 23 saa tatu usiku

WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA
MAWASILIANO
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735.email:met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE: 23/05/2016.
 [Mikoa
ya Kagera na Mara]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:
[Mikoa ya Pwani na Dar Es
Salaam]:
[Mkoa wa Tanga na Visiwa
vya Unguja na Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mbeya, Rukwa na
Katavi]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora,
Singida na Dodoma]:
[Mikoa ya Morogoro, Ruvuma,
Njombe na Iringa]:
[Mikoa ya Simiyu, Mwanza, Geita
na Shinyanga]:
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango
cha juu cha joto
Kiwango
cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo
(Saa)
ARUSHA
23°C
16°C
12:32
12:28
D’SALAAM
30°C
23°C
12:27
12:11
DODOMA
28°C
17°C
12:40
12:26
KIGOMA           
30°C
18°C
01:02
12:52
MBEYA
21°C
10°C
12:53
12:31
IRINGA
25°C
14°C
12:42
12:24
MWANZA
30°C
18°C
12:45
12:43
TABORA
29°C
13°C
12:50
12:40
TANGA
31°C
23°C
12:25
12:15
ZANZIBAR
30°C
25°C
12:27
12:11
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa kutoka
Kusini
kwa Pwani ya Kaskazini; na kwa kasi ya km 30
kwa saa
kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi; Makubwa kiasi hadi Makubwa.
Matazamio kwa siku ya Jumatano:
25/05/2016: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 23/05/2016.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

from Blogger http://ift.tt/1VfEhSu
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1TyVtA6

No comments:

Post a Comment