Thursday 12 May 2016

Muigizaji Kinyambe Afariki dunia usiku wa leo Mbeya

image.jpegMchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah “KINYAMBE” amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwao Mbeya.

Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitisha kuwa, msanii huyo wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.



Chanzo Jamii Forum 

from Blogger http://ift.tt/27f8O7H
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/27fbPVL

No comments:

Post a Comment