Monday 21 March 2016

Utabiri wa Hali ya Hewa Leo Machi 21 saa 21:00 mpaka Machi 22 saa 20:59

WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA
MAWASILIANO
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735.email:met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 21/03/2016.
[Mikoa ya Morogoro (Kusini),
Njombe na Iringa]:
[Mikoa ya Ruvuma, Rukwa,
Katavi na Mbeya]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:
Hali ya Mawingu, mvua na
ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Simiyu,
Shinyanga, Geita na Mwanza]:
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Kigoma na Tabora]:
Hali ya Mawingu kiasi mvua na
ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Manyara
na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Pwani na Morogoro
(Kaskazini)]:
[Mikoa ya Tanga na Dar es
Salaam]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
ANGALIZO
VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO
YA MIKOA YA NJOMBE, IRINGA, RUVUMA, RUKWA, KATAVI, MBEYA, MTWARA, LINDI,
SINGIDA, DODOMA NA MOROGORO (KUSINI).
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango
cha juu cha joto
Kiwango
cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo
(Saa)
ARUSHA
32°C
18°C
12:39
12:44
D’SALAAM
34°C
27°C
12:28
12:33
DODOMA
32°C
22°C
12:42
12:47
KIGOMA           
32°C
21°C
01:06
01:11
MBEYA
25°C
17°C
12:51
12:56
IRINGA
30°C
18°C
12:42
12:47
MWANZA
29°C
23°C
12:53
12:58
TABORA
30°C
18°C
12:54
12:59
TANGA
34°C
27°C
12:29
12:34
ZANZIBAR
35°C
27°C
12:28
12:33
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka
Kaskazini – Mashariki
kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa
Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa Kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumatano:
23/03/2016:
Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 21/03/2016.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

from Blogger http://ift.tt/1Pn20bF
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1LBJbqj

No comments:

Post a Comment