Friday, 1 January 2016

Pengo atembelewa na Rais Magufuli Muhimbili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki  la Dar es salaam katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
leo January 1, 2016. Kardinali Pengo alilazwa hospitalini hapo jana jioni kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa afya yake.

PICHA NA IKULU

from Blogger http://ift.tt/1RdZbhR
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1PBiD6G

No comments:

Post a Comment