Tuesday, 24 November 2015

WEMA ASHITUA MASHABIKI WAKE AANDIKA UJUMBE MZITO SIKU ZA KIFO ZIMEKARIBIA

Baada ya Wema Sepetu Kutoa Misaada kwa Watoto wa Yatima wa Kituo cha Good Hope Orphanage in Usa-River Arusha..Aliandika Maneno haya kwa Uchungu kwenye ukurasa wake wa Instagram:

“Kumbuka kwamba kuna kifo… Iko siku utaitwa Marehemu…. Put that in your head… Im thinking my day is soon…. Alhamdulillah for everything tho….”

from Blogger http://ift.tt/1Yr9MIF
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1P5rn7y

No comments:

Post a Comment