| Wachezaji wa timu ya soka ya Panone fc wakipasha misuli moto kabla ya kuanza kwa mchezo wa ligi ya shirikisho inayodhaminiwana Azam. |
| Wachezaji wa timu ya Polisi Dar wakipasha misuli moto kabla ya kuanza kwamchezo wa ligi ya shirikisho hidi ya Panone fc mchezo uliopigwa katika uwanja wa Chuo cha Ushirika. |
| Kocha wa timu ya soka ya Panone fc,Atuga Manyundo akizungumza na Azam TV iliyokuwa ikirusha mchezo huo moja kwa moja. |
| Wapiga picha wa Azam Tv wakiweka sawa mitambo yao kwa ajili ya kurusha live mchezo huo. |
| Vikosi vya timu za Polisi Dar na Panone fc vikiwa tayari kuingia uwanjani. |
| Vikosi vikiingia uwanjani. |
| Panone fc |
| Polisi Dar. |
| Wachezaji wa timu hizo wakisalimiana. |
| Benchi la Polisi Dar. |
| Benchi la Panone fc. |
| Kikosi cha Panone fc. |
| Waamuzi wa mchezo uo. |
| Camera maalum aina ya Drone akipiga picha za juu katika uwanja wa Ushirika wakati wa mchezo wa ligi ya Shirikisho kati ya Panone fc na Polisi Dar. |
| Azam Tv walikuwa live kurusha mchezo huo. |
| heka heka katika mchezo huo. |
| Panone fc wakishangilia baada ya kupata bao la kwanza. |
| Heka heka. |
| Heka heka langoni mwa timu ya Polisi Dar. |
| Wachezaji wa Polisi Dar wakishangilia mara baada ya kusawazisha bao. |
| Panone fc wakifanya mabadiliko ,mchezaji Pompy akinngia. |
| Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mchezo huo. |
| Figisu figisu ilipotokea uwanjanihapa kidogo wachezaji wa timu zote mbili akioneshana msuli. |
| Mmoja wa wachezaji wa timu ya Panone fc akiwa chini akisikilizia maumivu baada ya kuchezewa vibaya na mchezaji wa Polisi Dar. |
| Mchezaji wa Panone fc akipewa msaada wa huduma ya kwanza mara baada ya kuchezewa vibaya. |
| Mlinzi wa timu ya Panone fc Pompy akijaribu kumiliki mpira. |
| Aliyekuwa Kocha wa timu ya soka ya JKT Ruvu ,Felix Minziro akiwa katika uwanja wa Ushirika akifuatilia mchezo kati ya timu ya Panone fc na Polisi Dar , |
| Moja ya heka heka langoni mwa timu ya Panone fc. |
| Pompy akijaribu kumzuia msgambuliaji wa timu ya Polisi Dar, |
| Mwamuzi wamchezo huo ,Nathan akiashiria kumalizika kwa dakika 90 za mchezo huo. |
| Mwisho wa mchezo Panone fc 2 Polisi Dar 1. |
| Waamuzi wakitoka uwanjani. |
| Wazee wa kubeti nao hao hawako nyuma sasa hivi wanatembea na mashine zao hadi katika viwanja vya michezo. |
| Wapiga picha wa Azam Tv wakichukua matukio mbalimbali. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
from Blogger http://ift.tt/1HfAsrz
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/1Nkno6I
No comments:
Post a Comment