 |
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Amos Makala akisalimiana na wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutembelea idara mbalimbali hospitalini hapo. |
 |
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akitia saini katika kitabu cha wageni maara baada ya kuwasili katika hosptali ya Rufaa ya Mawenzi mkaoni Kilimanjaro. |
 |
Mganga mkuu wa mkoa wa Kilimajaro Hajati, Dkt Mtumwa Mwako akifanya utamburisho wa watumishi wa hosptali hiyo katika ukumbi mdogo wa mikutano hospitalini hapo. |
 |
Baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi ya mkoani Kilimanjaro. |
 |
Mkuu wa wilaya ya Moshi ,Novatus Makunga akizungumza jambo katika kikao cha mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Amos Makala na watumishi wa Hopstali ya rufaa ya Mawenzi. |
 |
Mganga mfawidhi wa Hospitali ya rufaa ya Mawenzi Dkt ,Bingilaki Rwezaula (kushoto) akiwa na watumsihi wengine wa hospitali hiyo. |
 |
Katibu wa Hosptali ya Rufaa ya Mawenzi ,Boniface Lyimo akisoma taarifa ya hospitali hiyo kwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala (hayupo pichani) |
 |
Baadhi ya wakuu wa vitengo mbalimbali katika hospitali ya Rufaa ya Mawenzi ,mkoani Kilimanjaro. |
 |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akizungumza na watumishi wa Hopstali ya Rufaa ya Mawenzi mara baada ya kutembelea hosptali hiyo. |
 |
Badhi ya watumishi katika hospitali hiyo. |
 |
RC Makala akizunguza na watumishi. |
 |
RC Makala akizungumza na mmoja wa wzee waliofikisha wagonjwa wao katika hospitali ya Mawenzi. |
 |
RC Makala akizungumza na mmoja wa wauguzi katika hospitali hiyo,kushoto ni mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Hajati,Dkt Mtumwa Mwako. |
 |
RC Makala akiwajulia hali wagonjwa waliofika katika hospitali hiyo kujipatia huduma ya matibabu. |
 |
Mganga Mfawidhi wa Hopstali ya Rufaa ya Mawenzi,Dkt Bingilaki Rwezaula akimuelekeza maeneo mbalimbali mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Amos Makala alipotembelea hospitalini hapo. |
 |
RC Makala akizungumza na mmoja wa wazee waliofika katika hospitali hiyo kupata matibabu. |
 |
RC Makala akitizama hali ya wagonjwa katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi. |
 |
RC Makala akitembelea kitengo kinachoshughulika na bima ya afya. |
 |
RC Makala akizungumza jambo na mkuu wa idara ya Bima ,Dkt Saganda katika hospitali hiyo. |
 |
RC Makala akizungumza na mmoja wa wagonjwa waliopo katika hospitali hiyo. |
 |
Wodi ya kina mama. |
 |
RC Makala akisalimiana na mmoja wa wauguzi wa zamu katika hospitali hiyo. |
 |
RC Makala akizungumza na mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika wodi ya kina baba. |
 |
RC Makala akizungumza na madkarai wa zamu katika hospitali ya Mawenzi. |
 |
RC Makala akimsikiliza mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika wodi ya Majeruhi katika hospitai hiyo. |
 |
RC Makala akitoa maelekezo kwa mkuu wa wilaya ya Moshi,Makunga baada ya kupata maelezo toka kwa mmoja wa wagonjwa katika hospitali hiyo namna alivyojeruhiwa . |
 |
RC Makala akitoka katika wodi ya wagonjwa wa akili hosptalini hapo. |
 |
RC Makala akiwa katika wodi ya watoto katika hospitali ya Mawenzi. |
 |
RC Makala akitembelea jengo jipya la wodi ya wazazi linalojengwa katika hospitali hiyo. |
 |
RC Makala akiondoka katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi mara baada ya kutembelea idara mbalimbali hospitalini hapo kujionea namna huduma zinavyotolewa.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
|
from Blogger http://ift.tt/1LiDEOb
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/1YdQ1Ew
No comments:
Post a Comment