Sunday, 11 October 2015

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 11/10/2015.

 WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 11/10/2015.
[Mikoa ya Mwanza, Kigoma,
Geita, Kagera na Mara]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam
Pwani na Morogoro]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
katika
maeneo machache na vipindi
vya jua.
[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara
na Arusha]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika
maeneo machache na vipindi
vya jua.
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya,
Katavi, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Dodoma, Singida,
Shinyanga na Tabora]:
[Mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara]:
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango
cha juu cha joto
Kiwango
cha chini cha joto
Mawio
(Saa)
Machweo
(Saa)
ARUSHA
28°C
17°C
12:18
12:24
D’SALAAM
30°C
21°C
12:05
12:15
DODOMA
31°C
17°C
12:19
12:28
KIGOMA           
31°C
22°C
12:44
12:52
MBEYA
27°C
08°C
12:28
12:39
IRINGA
28°C
14°C
12:19
12:30
MWANZA
29°C
21°C
12:32
12:37
TABORA
34°C
20°C
12:32
12:40
TANGA
30°C
23°C
12:07
12:15
ZANZIBAR
31°C
22°C
12:05
12:15
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki; kwa kasi
ya km 2
0 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na
kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo hadi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumanne:
13/10/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 11/10/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

from Blogger http://ift.tt/1K1GypO
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1R5Gs5V

No comments:

Post a Comment