-Washiriki wa matembezi ya hisani ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti kwa akinamama yaliyodhaminiwa na kampuni ya Tigo jijini Dar es Salam jana. |
Afisa huduma kwa jamii wa Kampuni ya Tigo, May Thomas (kulia) akishiriki matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti kwa akinamama yaliyodhaminiwa na kampuni hiyo Dar es Salam jana. |
from Blogger http://ift.tt/1GCOUnE
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/1Lea5OT
No comments:
Post a Comment