GARI aina ya Toyota Duet limeungua mchana wa leo maeneo ya Sinza Kijiweni jijini Dar ambapo mashuhuda wa tukio hilo wemesema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni kutokana na hitilafu ya moto ulioshika tanki la mafuta wakati gari hilo likiwa gereji.
Kamera yetu ilishuhudia gari hilo likiwa tayari limekwishakuungua pembezoni mwa barabara eneo la Sinza Kijiweni ambapo ilielezwa kuwa mara baada ya kushika moto taki la maufuta likiwa kwa mafundi gereji lilikokuwa likichomelewa sehemu iliyokuwa imeharibika waliamua kulisukuma hadi barabarani kwa ajili ya kuepusha magari mengine kutokushika moto.
from Blogger http://ift.tt/1OnXBu1
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/1LC4jfp
No comments:
Post a Comment