Monday 7 September 2015

Mary Nagu Azindua kampeni Arusha

SAM_5821Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu akimnadi mgombea Ubunge pamoja na madiwa katika uzinduzi wa kampeni jimbo la Arusha mjini tarehe 5/9/2015 katika uwanja wa soko kuu jijini Arusha.
SAM_5835Umati wa watu uliojitokeza katika uzinduzi wa kampeni za ccm jimbo la Arusha mjini katika ene la soko kuu jijini Arusha,ambapo rasmi walizindua kampeni za ubunge na udiwani.
SAM_5786Mbunge viti maalum kundi la wanawake (UWT)Catherine Magige Mkoa wa Arusha akizungumza katika uzinduzi huo
SAM_5783Mbunge viti maalum na Kada maarafu kupitia chama cha Mapinduzi CCM, Violet Mfuko akiongea katika uzinduzi huo. Picha zaidi FK MATUKIO

from Blogger http://ift.tt/1PX2RSv
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1QkdTBZ

No comments:

Post a Comment