WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 20/08/2015.
| [Mkoa wa Kagera]: | Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua. | |
| [Mkoa wa Mara]: | Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua. | |
| [Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani]: [Visiwa vya Unguja na Pemba]: | Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua. | |
| [Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]: [Mikoa ya Katavi, Mbeya, Kigoma, Tabora na Rukwa]: [Mikoa ya Mtwara, Lindi, Iringa, Njombe na Ruvuma]: [Mikoa ya Dodoma, Singida na Morogoro]: [Mikoa ya Geita,Mwanza na Shinyanga,]: | Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua. | 
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
YA MIJI HAPA NCHINI:
| MJI | Kiwango cha juu cha joto | Kiwango cha chini cha joto | Mawio (Saa) | Machweo (Saa) | 
| ARUSHA | 25°C | 15°C | 12:38 | 12:37 | 
| D’SALAAM | 31°C | 20°C | 12:30 | 12:22 | 
| DODOMA | 30°C | 16°C | 12:43 | 12:37 | 
| KIGOMA            | 32°C | 19°C | 01:06 | 01:02 | 
| MBEYA | 27°C | 06°C | 12:55 | 12:43 | 
| IRINGA | 30°C | 13°C | 12:48 | 12:34 | 
| MWANZA | 30°C | 20°C | 12:51 | 12:51 | 
| TABORA | 31°C | 20°C | 12:54 | 12:50 | 
| TANGA | 29°C | 22°C | 12:29 | 12:25 | 
| ZANZIBAR | 30°C | 21°C | 12:30 | 12:22 | 
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kutoka
Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa
Pwani ya Kusini.
Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa
Pwani ya Kusini.
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.
bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.
Matazamio kwa siku ya Jumamosi:
22/08/2015: Mabadiliko kidogo.
22/08/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 20/08/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
from Blogger http://ift.tt/1NNayK6
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/1I49FYv
 
No comments:
Post a Comment